Mashangilio 110 - Swahili Roehl Bible 1937

Utume wa Mungu kwa mfalme wake.(Taz. Mat. 22:44; Tume. 2:34-35; Ebr. 1:13; 5:6.)Wimbo wa Dawidi.

1*Bwana alimwambia Bwana wangu: Keti kuumeni kwangu, mpaka niwaweke adui zako chini miguuni pako!

4Bwana aliapa, naye hatajuta: Wewe u mtambikaji wa kale na kale, kama Melkisedeki alivyokuwa.*

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help