1Dawidi akaja Nobe kwa mtambikaji Ahimeleki; Ahimeleki akashikwa na woga, akamwendea Dawidi njiani, akamwuliza: Mbona unakuja peke yako, usiwe na mtu wa kufuatana na wewe?
2Dawidi akamwambia mtambikaji Ahimeleki: Mfalme ameniagiza neno na kuniambia: Mtu asilijue hili neno, ninalokutuma nililokuagiza! Wako vijana, niliowaagiza, waje mahali fulani.
3Una chakula gani sasa? Kama ni mikate mitano, nipe, niende nayo, au cho chote kingine kinachoonekana!
4Mtambikaji akamjibu Dawidi akisema: Sinayo mikate ya kula, ila iko mikate mitakatifu tu; ingewezekana, kama vijana wale wangalijiangalia, wasiguse wanawake.Dawidi anamkimbilia Akisi, mfalme wa Gati.
10Kisha Dawidi akaondoka, akamkimbia Sauli siku hiyo, akaja kwa Akisi, mfalme wa Gati.
12Dawidi alipoyafikisha maneno haya moyoni mwake, akamwogopa sana Akisi, mfalme wa Gati.
13Kwa hiyo akayageuza mawazo yake mbele yao, akawa kama mwenye wazimu huko kwao, akaipiga milango ya lango la mji kama ngoma, nayo mate yake akayachuruzisha madevuni mwake.Sh. 34:1.
14Akisi akawaambia watumishi wake: Mnamwona mtu huyu kuwa mwenye kichaa, sababu gani mmemleta kwangu?
15Je? Mimi nimekosa wenye kichaa, mkimleta huyu, anitolee wazimu wake? Ananijiliaje nyumbani mwangu?
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.