Mashangilio 96 - Swahili Roehl Bible 1937
Kumshukuru Mungu aliye mwenye kuzihukumu nchi zote.(Taz. 1 Mambo 16:23-33.)
1*Mwimbieni Bwana wimbo mpya! Mwimbieni Bwana, nchi zote!
11Kwa hiyo mbingu na zifurahi, nchi nayo na ipige shangwe! Hata bahari nayo yote yajaayo ndani yake na yavume!