1Kisha nikapewa mwanzi uliofanana na fimbo, nikaambiwa: Inuka, ulipime Jumba la Mungu na meza ya Bwana nao wenye kutambikia mlemle!Baragumu la saba.
15Malaika wa saba alipopiga baragumu, kukawa na sauti kuu nyingi mbinguni zikisema:
Ufalme wa ulimwengu umekwisha kuwa wake
Bwana wetu na wa Kristo wake;
ndiye atakayetawala kale na kale pasipo mwisho.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.