Wagalatia 4 - Swahili Roehl Bible 1937

Sisi tu wana wa Mungu.

1Nasema: Kibwana siku anapokuwa mchanga bado, hakuna, apitanacho na mtumwa, angawa ni bwana wa vyote,

2ila hana budi kuwatii walezi na watunza mali, mpaka siku zitimie zilizowekwa na baba yake.

3Vivyo hivyo nasi tulipokuwa wachanga tulikuwa tumeyatumikia kitumwa mambo ya kwanza ya humu ulimwenguni.Msirudie kuwa wanyonge!

8Lakini hapo kale, mlipokuwa hammjui Mungu, mlitumikia miungu isiyo miungu kwa hivyo, ilivyo.

9Lakini sasa, mnapomtambua Mungu, tena mnapotambulikana kwake Mungu, mwaigeukiaje tena ile miiko ya kale ikosayo nguvu, iletayo ukiwa tu? Mwatakaje, mwanze kuitumikia tena?Paulo anawaonya kama watoto wake.

12Ndugu, nawabembeleza, mwe, kama mimi nilivyo! Maana, mimi ni kama ninyi. Hamkunipotoa lo lote.

28Lakini ninyi ndugu, mmekuwa wana wa kiagio kama Isaka.

29Lakini kama hapo kale yule aliyezaliwa kwa tamaa ya mwili alivyomchokoza yule aliyezaliwa kwa nguvu ya Roho, ndivyo, vilivyo hata sasa.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help