1 Wafalme 2 - Swahili Roehl Bible 1937

Dawidi anamfundisha Salomo, kisha anakufa.

1Siku za kufa kwake Dawidi zilipofika karibu, akamwonya mwanawe Salomo akisema:

2Mimi sasa ninakwenda njia inayowapasa wote wa huku nchini; nawe jipe moyo, uwe mtu wa kiume!

3Yaangalie mambo ya Bwana Mungu wako, ayatakayo, yaangaliwe, ukizishika njia zake na kuyaangalia maongozi yake na maagizo yake na maamuzi yake na mashuhuda yake, kama yalivyoandikwa katika Maonyo ya Mose. Ndivyo, utakavyofanikiwa katika matendo yako yote po pote, utakapojielekezea.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help