1Mwigeni Mungu, kama inavyowapasa watoto wapendwa!
15*Kwa hiyo angalieni sana, mtakavyoendelea! Msiwe wenye ujinga, ila mwe wenye werevu wa kweli!Mke amtii mumewe! Mume ampende mkewe!
22Ninyi wanawake, watiini waume wenu, kama mnavyomtii Bwana!
31Kwa sababu hii mtu atamwacha baba yake na mama yake,
agandamiane na mkewe, nao hao wawili watakuwa mwili mmoja.1 Mose 2:24.
32Fumbo hili ni gumu la kulifumbua, lakini mimi nasema la Kristo na la wateule!
33Lakini hata ninyi kila mmoja wenu na ampende mkewe, kama anavyojipenda mwenyewe! Lakini mke amche mumewe!
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.