5 Mose 28 - Swahili Roehl Bible 1937

Mbaraka itakayowapata Waisiraeli.(Taz. 3 Mose 26.)

1Utakapoisikia sauti ya Bwana Mungu wako, uyaangalie na kuyafanya maagizo yake yote, mimi ninayokuagiza leo, Bwana Mungu wako atakufanya kuwa mkuu kuliko mataifa yote ya huku nchini.Maapizo yatakayowapata Waisiraeli, wasipotii.

15Lakini usipoisikia sauti ya Bwana Mungu wako, usiyaangalie na kuyafanya maagizo yake yote na maongozi yake yote, mimi ninayokuagiza leo, ndipo, yatakapokujia haya maapizo yote na kukupata.

45Haya maapizo yote yatakujia, yakuhangaishe; lakini yatakupata, hata uangamizwe, kwa kuwa hukuisikia sauti ya Bwana Mungu wako na kuyaangalia maagizo yake na maongozi yake, aliyokuagiza.

46Kwa hiyo haya maapizo yatakuwa kielekezo na kioja kwako wewe nako kwao walio wa uzao wako kale na kale.

Maapizo mengine yatakayowapata Waisiraeli.

47Kwa kuwa hukumtumikia Bwana Mungu wako kwa furaha na kwa moyo wa kumshukuru kwa hivyo, alivyokufurikishia vyote,

48kwa sababu hii utawatumikia adui zako, Bwana atakaowatuma kwako, nawe utakuwa mwenye njaa na kiu, mwenye uchi na ukosefu wote, kisha atakutia kongwa la chuma shingoni pako, hata akuangamize.

49Bwana atakuletea taifa, atakalolitoa mbali kwenye mapeo ya nchi, warukao kama tai, usiowasikia msemo wao.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help