Ufunuo 17 - Swahili Roehl Bible 1937

Mji wa Babeli ni mgoni mkubwa wa kike.

1Pakaja mmoja wao wale malaika saba wenye vile vyano saba, akasema nami kwamba: Njoo, nitakuonyesha hukumu yake yule mgoni mkubwa wa kike akaaye juu ya maji mengi.Maana yao vichwa saba na pembe kumi.

7Kisha malaika akaniambia: Kwa nini unastaajabu? Nitakuambia fumbo la mwanamke na la nyama mwenye vichwa saba na pembe kumi anayemchukua.

8Yule nyama, uliyemwona, alikuwapo kale, naye sasa hayupo; lakini atatoka tena kuzimuni, aende kwenye maangamizo. Ndipo, wakaao nchini wasioandikwa majina yao katika kitabu cha uzima tangu hapo, ulimwengu ulipoumbwa, watakapostaajabu, watakapomwona huyo nyama aliyekuwapo kale, ya kuwa sasa hayupo, lakini halafu atakuwapo tena.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help