4 Mose 6 - Swahili Roehl Bible 1937
Mambo yao waliojieua kuwa wa Mungu.
1Bwana akamwambia Mose kwamba:
25Bwana akuangazie uso wake, akuhurumie!
26Bwana akuinulie uso wake, akupe utengemano!Sh. 69:17-18.
27Watakapowatajia wana wa Isiraeli Jina langu hivi, mimi nitawabriki.