1Wazee walioko kwenu nawaonya mimi niliye mzee mwenzao na shahidi wa mateso yake Kristo, nitakayekuwa mwenziwe hata katika utukufu utakaofunuliwa.
5Vilevile ninyi mlio watu wazima, watiini wazee!* Nyote tumikianeni kila mtu na mwenziwe, kama ni mtumwa wake kwa kujinyenyekeza!
Kwani wenye kujikweza Mungu huwapingia,
lakini wanyenyekevu huwapatia huruma.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.