1Shina la wana wa Yuda kura ikalipata nchi za kuzigawanyia koo zao kwenye mpaka wa Edomu; mpaka wao wa kusini uliipita nyika ya Sini iliyokuwa mwisho wa upande wa kusini.
48Tena milimani: Samiri na Yatiri na Soko,
49na Dana na Kiriati-Sana, ndio Debiri,
50na Anabu na Estemo na Animu,
51na Goseni na Holoni na Gilo; ni miji 11 pamoja na mitaa yao.
52Arabu na Duma na Esani,
53Yanumu na Beti-Tapua na Afeka,
54na Humuta na Kiriati-Arba, ndio Heburoni, na Siori; ni miji 9 pamoja na mitaa yao.
55Maoni, Karmeli na Zifu na Yuta,
56na Izireeli na Yokidamu na Zanoa,
57Kaini, Gibea na Timuna; ni miji 10 pamoja na mitaa yao.
58Halihuli, Beti-Suri na Gedori,
59na Marati na Beti-Anoti na Eltekoni; ni miji 6 pamoja na mitaa yao.
60Kiriati-Baali, ndio Kiriati-Yearimu, na Raba; ni miji 2 pamoja na mitaa yao.
61Nyikani: Beti-Araba, Midini na Sekaka,
62na Nibusani na Mji wa Chumvi na Engedi ni miji 6 pamoja na mitaa yao.
63Lakini Wayebusi, ndio wenyeji wa Yerusalemu, wana wa Yuda hawakuweza kuwafukuza; kwa hiyo Wayebusi wakakaa pamoja na wana wa Yuda mle Yerusalemu mpaka siku hii ya leo.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.