Mateo 22 - Swahili Roehl Bible 1937

Ndoa ya mwana wa mfalme.(2-14: Luk. 14:16-24.)

1Yesu akaendelea kusema tena kwa mifano akiwaambia:Shilingi ya kodi.(15-22: Mar. 12:13-17; Luk. 20:20-26.)

15Mafariseo wakaenda zao, wakala njama ya kumtega kwa maneno yake.

16Wakatuma kwake wanafunzi wao pamoja na watu wa Herode, wakasema: Mfunzi, tumekujua, ya kuwa wewe ni mtu wa kweli, nayo njia ya Mungu unaifundisha, ilivyo kweli, tena humwuliziulizi mtu ye yote, kwani hutazami nyuso za watu.Kufufuka.(23-33: Mar. 12:18-27; Luk. 20:27-40.)

23Siku ileile wakamjia Masadukeo wanaosema: Hakuna ufufuko, wakamwulizaAgizo kubwa.(34-40: Mar. 12:28-31; Luk. 10:25-28)

34*Mafariseo waliposikia, ya kuwa amewashinda Masafukeo na kuwafumba vinywa, wakakusanyika pamoja.

35Mmoja wao aliyekuwa mjuzi wa Maonyo yake Mungu akamwuliza kwa kumjaribu akisema:

36Mfunzi, agizo lililo kubwa katika Maonyo yake Mungu ni lipi?Mwana wa Dawidi.(41-46: Mar. 12:35-37; Luk. 20:41-44.)

41Wao Mafariseo walipokusanyika, Yesu akawaulizaRom. 1:3.

42akisema: Mwamwonaje Kristo kuwa ni mwana wa nani? Wakamwambia: Wa Dawidi.

43Akawauliza: Tena Dawidi alimwitaje Bwana kwa nguvu ya Roho aliposema:

Bwana alimwambia Bwana wangu: Keti kuumeni kwangu,

44mpaka niwaweke adui zako chini miguuni pako?Mat. 26:64; Sh. 110:1.

45Basi Dawidi akimwita Bwana, anakuwaje mwana wake?

46Hata mmoja hakuweza kumjibu neno, wala toka siku ile hakuwako mtu aliyejipa moyo wa kumwuliza neno tena.*

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help