1Bwana ni mwanga wangu na wokovu wangu, nimwogope nani? Bwana ni ngome, nilimpoponea, nimstuke nani?
4Hili moja, ninalolitaka sana, namwomba Bwana, nikae Nyumbani mwa Bwana siku zote za maisha yangu, niutazame na kuuchunguza uzuri wake Bwana Jumbani mwake.
5Kwani hunifunika kambini kwake, siku ikiwa mbaya; hunificha fichoni penye hema lake akinikweza mwambani.
11Bwana, nifundishe njia yako na kuniongoza, nifuate mapito yanyokayo, waninyatiao wasinipate!
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.