Iyobu 22 - Swahili Roehl Bible 1937

1Mtu anayeweza kumfalia Mungu yuko wapi?

2Kwani mwenye akili hujifalia mwenyewe tu.

3Itampendeza Mwenyezi, ukiwa mwongofu? Anapata nini, ukizitengeneza njia zako, zisikukoseshe?

4Je? Anakupatiliza kwa kumwogopa? Hii ndiyo sababu ya kukupeleka shaurini?

5Siyo mabaya yako yaliyo mengi? Hakuna kikomo cha manza, unazozikora.

6Kwani ndugu zako uliwatoza rehani bure tu, nao wakosao nguo ukawavua mavazi.Jibu la saba la Iyobu: Anaomba, Mungu amwamulie.

Iyobu akajibu, akisema:

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help