1Maonyo hufanana, kama ni kivuli tu cha yale mema yatakayotokea, wala siyo sura yao yenyewe, ni kufanana tu nayo. Navyo vipaji vya tambiko, walivyovipeleka kila mwaka, ni vivyo hivyo kale na kale, navyo haviwezi kuwapa utimilifu wenye kuvitoa.
6Ng'ombe za tambiko zinazoteketezwa nzima
navyo vipaji vya kulipa makosa hukupendezwa navyo.
7Ndipo, niliposema: Tazama, ninakuja!
Mambo yangu yameandikwa katika kitabu cha kale,
niyafanye, uyatakayo wewe, Mungu.
8Kwanza anasema: Ng'ombe na vyakula vya tambiko, nazo ng'ombe za tambiko zinazoteketezwa nzima, navyo vipaji vya kulipa makosa hukuvitaka, wala hukupendezwa navyo, tena hutolewa, kama vilivyoagizwa.
9Kisha alisema: Tazama, ninakuja, nifanye uyatakayo wewe. Hivyo analitangua lile la kwanza, apate kulisimamisha lile la pili.
10Kwa hayo, aliyoyataka, tumetakaswa, kwani mwili wake Yesu Kristo ulitolewa mara moja.
15Naye Roho Mtakatifu anatushuhudia hivyo. Kwani kwanza anasema:
16Bwana anasema:
Agano, nitakalolifanya nao,
siku hizi zitakapokuwa zimepita, ni hili:
Nitawapa maonyo yangu, yakae mioyoni mwao;
tena nitayaandika katika mawazo yao.
17Sitayakumbuka tena makosa yao na mapotovu yao.Mtu asiubeze upole!
26Kwani sisi tuliokwisha kuyatambua yaliyo ya kweli tukikosa tena kwa kuyapenda makosa, hakuna kipaji cha tambiko tena kilichotusalia cha kuondoa makosa,Mwongofu ataishi kwa kumtegemea Mungu.
35Basi, msikitupe kingojeo chenu! Kwani kitawapatia malipo makubwa.
36Lakini mnapaswa na uvumilivu, myafanye, Mungu ayatakayo, myapokee yale, mliyoagiwa.
38Naye mwongofu wangu atapata uzima kwa kunitegemea.
Lakini atakayerudi nyuma hataipendeza roho yangu.Hab. 2:4; Rom. 1:17.
39Lakini sisi hatu wenye kurudi nyuma, tuangamie, ila wenye kumtegemea, tuziokoe roho zetu.*
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.