1Mpumbavu husema moyoni mwake: Hakuna Mungu. Hawafai kitu, mapotovu yao hutapisha, anayefanya mema hayuko.
2Bwana huchungulia toka mbinguni awatazame wana wa watu, aone, kama yuko mwenye akili anayemtafuta Mungu.
4Je? Wale wote wafanyao maovu hawataki kujitambua, wao wanaowala walio ukoo wangu, kama walavyo mkate? Lakini Bwana hawamtambikii!
7Laiti mwokozi wake Isiraeli atokee Sioni, Bwana awarudhishe mateka walio wa ukoo wake! Ndipo, Yakobo atakaposhangilia, ndipo, Isiraeli atakapofurahi.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.