1Bwana akamwambia Mose: Sasa utayaona, nitakayomfanyizia Farao, kwani kwa mkono wenye nguvu atawapa ruhusa kwenda zao, tena kwa huo mkono wenye nguvu atawakimbiza, waitoke nchi yake.
2Kisha Bwana akasema na Mose, akamwambia: Mimi ni Bwana.
3Nilimtokea Aburahamu na Isaka na Yakobo, wanijue kuwa Mungu Mwenyezi, lakini Jina langu la Bwana sikulijulisha kwao.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.