1Neno la Bwana likanijia la kwamba:Mungu hupendezwa, wasiomcha wakijuta.
21Lakini asiyemcha Mungu akirudi na kuyaacha makosa yake yote, aliyoyafanya, ayashike maongozi yangu yote na kufanya yaliyo sawa yaongokayo, basi, atapata uzima wa kweli, hatakufa.
22Nayo mapotovu yake yote, aliyoyafanya, hayatakumbukwa, ila atapata uzima kwa wongofu wake, alioufanya.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.