1 Wakorinto 15 - Swahili Roehl Bible 1937

Kristo amekufa na kufufuka tena.

1*Ndugu, nataka kuwatambulisha vena huo Utume mwema, niliowatangazia; ndio, mlioupokea na kuukalia,

2tena ndio, ambao mnaokolewa nao, ikiwa mmeyashika maneno ya hiyo mbiu njema, niliyowapigia, isipokuwa mmeitegemea bure.

3Kwani kwanza nimewatolea, niliyoyapokea hata mimi ya kwamba: Kristo alikufa kwa ajili ya makosa yetu, kama alivyoandikiwa;Miili ya ufufuko.

35Lakini labda yuko atakayeuliza: Wafu watafufukaje? Nao watakuja wenye miili gani?

36Mjinga wee! Unachokipanda, hakirudi uzimani, isipokuwa kife kwanza.

54*Lakini hapo, hii miili yenye kuoza itakapovaa isiyooza, nayo yenye kufa itakapovaa isiyokufa, ndipo, litakapokuwapo lile neno lililoandikwa:

55Kufa kumemezwa, kukashindwa!

Wewe kifo, kushinda kwako kuko wapi?

Wewe kuzimu, uchungu wako luko wapi?1 Kor. 15:26; Yes. 25:8; Hos. 13:14.

56Kwani uchungu wa kufa ndio ukosaji, lakini nguvu ya ukosaji ndiyo Maonyo.Rom. 7:7-8,13; 6:14.

57Lakini Mungu atukuzwe atupaye kushinda kwa nguvu ya Bwana wetu Yesu Kristo!

58Kwa hiyo, ndugu zangu wapendwa, mjishupaze, msitukutike! Jikazeni kuendelea kazini mwa Bwana po pote, kwa kuwa mmejua, ya kama masumbuko yenu, mnayoyaona kwa ajili ya Bwana, siyo ya bure!*

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help