Yeremia 38 - Swahili Roehl Bible 1937
Yeremia anatupwa kisimani.
1Sefatia, mwana wa Matani, na Gedalia, mwana wa Pashuri, na Yukali, mwana wa Selemia, na Pashuri, mwana wa Malkia, wakayasikia yale maneno, Yeremia aliyowaambia watu wote wa ukoo huu kwamba: