1Bwana Mungu wangu, nimekukimbilia wewe.
3Bwana Mungu wangu, kama yako mambo, niliyoyafanya, kikawamo kipotovu mikononi mwangu,
11Mungu ni mwamuzi mwenye wongofu, ni Mungu atishaye kila siku:Sh. 9:5.
12mtu akikataa kugeuka, ataunoa upanga wake, nao uta wake ataupinda na kuuelekeza.5 Mose 32:41; Omb. 2:4; 3:12.
13Vyombo viuavyo ndivyo, atakavyopachika humo, nayo mishale yake ataiwakisha moto.
14Mwenye kujifunga, atokeze kiovu, mtazameni: huwa kama mwenye mimba ya kuzaa maumivu, lakini anapozaa, ni madanganyo ya kumdanganya yeye!
15Akiwa amechimba shimo na kulitanua, hutumbukia mwenyewe mlemle mwenye mwina, alioutengeneza yeye.Fano. 26:27.
16Maumivu yake ya kuumiza wengine humrudia kichwani pake, nayo makorofi yake humshukia utosini.
17Kwa ajili ya wongofu wake namshukuru Bwana, naliimbia Jina lake Bwana Alioko huko juu.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.