2 Wakorinto 8 - Swahili Roehl Bible 1937

Kuchanga vipaji.

1Ndugu, twawatambulisha kipaji cha Mungu, wateule wa Makedonia walichogawiwa:Kumtuma Tito na ndugu wengine.

16Lakini na tumshukuru Mungu aliyempa Tito kujihimiza vivyo hivyo moyoni mwake kwa ajili yenu.

17Kwani tulipombembeleza, akaitikia. Lakini kwa hivyo, alivyokaza kujihimiza, aliondoka kwenda kwenu kwa mapenzi yake mwenyewe.

18Tukatuma pamoja naye ndugu mmoja anayesifiwa kwenye wateule wote hivyo, anavyoutangaza Utume mwema.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help