1Ilikuwa hapo, Bwana akitambua, ya kama Mafariseo wamesikia, ya kuwa Yesu anapata wanafunzi wengi, tena ya kuwa anabatiza kumpita Yohana,
21*Yesu akamwambia: Nitegemea mama, ya kuwa saa inakuja, itakapokuwa, msimtambikie Baba wala huku mlimani wala Yerusalemu!
22Ninyi hutambikia, msichokijua; sisi hutambikia, tunachokijua, kwani wokovu umeanzia kwa Wayuda.
27Hapo wanafunzi wake wakaja, wakashangaa, ya kuwa anasema na mwanamke; lakini hakuna aliyeuliza: Watafuta nini? au: Wasemaje naye?
28Lakini yule mwanamke akauacha mtungi wake, akaenda mjini, akawaambia watu:
29Njoni, mtazame mtu aliyeniambia yote, niliyoyafanya, kama yeye siye Kristo!
30Ndipo, walipotoka mjini, wakamwendea.
31*Walipokuwa hawajafika, wanafunzi wakamhimiza wakisema: Mfunzi mkuu, ule!
32Alipowaambia: Mimi ninacho chakula, msichokijua ninyi,Mwana wa mtu wa kifalme.
46Akafika tena Kana wa Galilea, alikogeuza maji kuwa mvinyo.
*Kulikuwa na mtu wa kifalme aliyeuguliwa na mwana wake huko Kapernaumu.
47Huyo aliposikia, ya kuwa Yesu ametoka Yudea, akafika Galilea, akaondoka, akamwendea, akambembeleza, ashuke, amponye mwanawe, kwani alitaka kufa.
48Lakini Yesu akamwambia: Msipoona vielekezo na vioja hamnitegemei.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.