Mateo 7 - Swahili Roehl Bible 1937

Maumbufu.

1Msiumbue mtu, msije mkaumbuliwa!Kuomba na kupewa.

7Ombeni! ndipo, mtakapopewa. Tafuteni! ndipo, mtakapoona. Pigeni hodi! ndipo, mtakapofunguliwa mlango.

12Yo yote, mnayotaka, watu wawafanyie ninyi, nanyi mwafanyie yaleyale! Kwani hayo ndiyo Maonyo na Wafumbuaji.Mlango mfinyu.

13*Uingieni mlango ulio mfinyu! Kwani liko lango lililo pana, nayo njia yake ni kubwa; ndiyo inayokwenda penye kuangamizwa, nao wanaoingia mle ni wengi.Wafumbuaji wa uwongo.

15Jilindeni kwa ajili ya wafumbuaji wa uwongo! Wanawajia wamevaa kama kondoo, lakini mioyoni ni mbwa wa mwitu wenye ukali.Nyumba juu ya mwamba.

24*Basi, kila mtu anayeyasikia haya maneno yangu na kuyafanyiza atafanana na mtu mwenye akili aliyeijenga nyumba yake mwambani.

28Ikawa, Yesu alipokwisha kuyasema maneno haya, makundi ya watu walishangazwa na mafundisho yake.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help