1Alipoifungua muhuri ya saba, vyote vilivyomo mbinguni vikawa kimya kama nusu saa.Fumbo la mabaragumu saba.
2Nikawaona wale malaika saba waliosimama mbele ya Mungu, wakipewa mabaragumu saba.
8Malaika wa pili alipopiga baragumu, pakatupwa baharini yaliyokuwa kama mlima mkubwa uliowaka moto. Ndipo, fungu la tatu la bahari lilipokuwa damu;
13Nikaona, nikasikia, tai mmoja aliyeruka mbinguni kati akisema kwa sauti kuu: Kondo! Kondo! Kondo! Zitawapata wakaao katika nchi, yatakapolia mabaragumu yaliyosalia ya wale malaika watatu waendao kuyapiga!
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.