Matendo ya Mitume 9 - Swahili Roehl Bible 1937

Sauli anakwenda Damasko.(1-22: Tume. 22:3-16; 26:9-18.)

1Naye Sauli alikuwa akingali bado akiwatolea wanafunzi wa Bwana ukorofi kwa kuwatisha na kwa kuwaua. Akamwendea mtambikaji mkuu,Kukimbia kwake Sauli.

23Siku zilipokwisha pita nyingi, Wayuda wakala njama ya kumwangamiza,

24lakini Sauli alipata kuitambua njama yao. Walipomwotea malangoni pa mji mchana na usiku, wapate kumwangamiza,

25ndipo, wanafuanzi walipomchukua usiku, wakamtia kapuni, wakamshusha ukutani.

26Alipofika Yerusalemu akajaribu kugandamiana na wanafunzi, wote wakiwa wakingali na woga wa kumwogopa, wasiitikie, ya kuwa ni mwanafunzi;Petero katika Lida na Yope.

31Hivyo wateule walitengamana pote katika Yudea na Galilea na Samaria, wakajijenga, wakaendeleana kwa kumcha Bwana, tena wakawa wengi wakitulizwa na Roho Mtakatifu.

32Ikawa, Petero alipopita pote akashuka na kuwafikia hata watakatifu waliokaa Lida.

33Huko akaona mtu, jina lake Enea, alikuwa amepooza na kulala kitandani miaka minane.

34Petero akamwambia: Enea, Yesu Kristo anakuponya; inuka, ujitandikie mwenyewe! Papo hapo akainuka.

35Walipomwona wao wote waliokaa Lida na Saroni, wakageuka, wamfuate Bwana.

36Yope mlikuwamo mwanafunzi mwanamke, jina lake Tabea, maana yake ni Paa. Huyu alikuwa na matendo mema mengi ya kugawia wengi.

37Ikawa, siku zile akaugua, akafa; kisha wakamwosha, wakamlaza katika chumba cha juu.

38Kwa kuwa mji wa Lida ulikuwa karibu ya Yope, wanafunzi walisikia, ya kuwa Petero yuko huko; kwa hiyo wakatuma kwake watu wawili, wamwombe, asikawie kuja kwao.

39Petero akainuka, akaenda nao. Alipofika, wakapanda naye kwenda katika chumba cha juu. Humo wanawake wajane wote wakamjia, wakasimama wakilia na kumwonyesha kanzu na nguo zote, alizowashonea yule Paa alipokuwa pamoja nao.

40Petero akawatoa wote, waje nje, akapiga magoti, akamwomba Mungu na kuugeukia ule mwili wake, akasema: Tabea, inuka! Ndipo, alipoyafumbua macho yake; alipomwona Petero akajiketisha.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help