1*Ndugu, sitaki, ninyi mkose kujua, ya kuwa baba zetu wote walikwenda wakifunikwa na wingu, nao wote walipita baharini.
8Tena tusifanye ugoni, kama wengine wao walivyoufanya, wakauawa siku moja watu 23000.Visivyofaa navyo vifaavyo.
23Hakuna cho chote chenye mwiko, lakini sivyo vyote vifaavyo; hakuna cho chote chenye mwiko, lakini sivyo vyote vijengavyo.
26Kwani nchi hii ni yake Bwana navyo vyote vilivyomo.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.