1*Neno, ninalokuhimiza kupita yote, ni hili: Mwombe na kumwangukia Mungu na kumbembeleza na kumshukuru mkiwaombea watu wote,Mambo yawapasayo waume na wake.
8Nataka, waume wamwombe Mungu mahali pote wakiinua mikono itakatayo, pasipo kukasirika na kuchokoza.
11Mwanamke sharti ajifunze kutulia na kutii sana!Ef. 5:22.
12Lakini simpi mwanamke ruhusa kufundisha, wala kumtawala mumewe, ila akae na kutulia.1 Mose 3:16; 1 Kor. 14:34.
13Kwani Adamu ndiye aliyeumbwa kwanza, halafu Ewa.1 Mose 1:27; 2:7,22.
14Naye Adamu siye aliyedanganyika, ila mwanamke ndiye aliyedanganyika, akatangulia kukosa.1 Mose 3:6; 2 Kor. 11:3.
15Lakini ataokoka kwa kuzaa watoto, hao wakiwa wenye kumtegemea Mungu na wenye kupendana na wenye kutakaswa mioyo na wenye kuonyeka.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.