1Na uniokoe, wewe Mungu!
14Lakini mimi ninakulalamikia, Bwana, mpaka utakapopendezwa. Mungu, kwa upole wako mwingi uniitikie na kunionyesha welekevu wako nao wokovu wako!
23Sharti meza zao ziwawie matanzi, walipizwe mabaya yao wakinaswa nayo!
30Lakini mimi ni mkiwa mwenye maumivu, wokovu wako, Mungu, ndio utakaonitia nguvu.
31Nitalitukuza Jina la Mungu na kuliimbia, kwa kumshukuru nitamkuza.
32Hivi vitampendeza Bwana kuliko ng'ombe, ijapo awe dume lenye pembe na kwato kubwa.Sh. 50:8-14.
33Maskini wakiviona watafurahi, nayo mioyo yenu ninyi mnaomtafuta Mungu na irudishwe uzimani.Sh. 22:27.
34Kwani Bwana huwasikia wasio na mali, nao walio wake wakifungwa, hawabezi.
35Mbingu na nchi na zimtukuze, nazo bahari navyo vyote vinavyotembea humo!
36Kwani Mungu atauokoa Sioni atakapoijenga miji ya Yuda, watu wakae humo na kuitunza!
37Navyo vizazi vya watumishi wake vitaitwaa, nao walipendao Jina lake watakaa humo.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.