Mashangilio 142 - Swahili Roehl Bible 1937

Kilio cha mtu asongekaye.Fundisho la Dawidi, jinsi alivyoomba alipokuwa pangoni.

1Napaza zauti, nimlilie Bwana,

6Nimekupalizia sauti, Bwana, nikasema kwamba: Wewe u kimbilio langu na fungu langu nchini kwao walio hai.

7Yaangalie malalamiko yangu! Kwani nimekorofika sana. Niopoe kwao wanikimbizao! Kwani nguvu zao hunishinda.Sh. 27:13.

8Itoe roho yangu kifungoni, ilishukuru Jina lako! Waongofu watanizunguka, ukinitendea mema.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help