1*Kama kuro anavyolilia maji ya mtoni, ndivyo, roho yangu inavyokulilia wewe, Mungu.
6Roho yangu inajihangaisha humu ndani yangu, kwa sababu hii ninakukumbuka huku, niliko katika nchi za Yordani kwenye Hermoni nako mlimani kwa Misari.
7Maanguko yako ya maji yakinguruma, vilindi vinaitana, kisha mafuriko na mawimbi yako yote huja kunifunika.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.