1Bwana akamwambia Mose: Liko pigo moja bado, nitakalompatia Farao nao Wamisri, baadaye atawapa ninyi ruhusa kutoka huku; naye hapo, atakapowapa ruhusa kwenda zenu na mali zenu zote, atawakimbiza ninyi kabisa kuondoka huku.
2Kwa hiyo sema masikioni mwa watu hawa, waombe vyombo vya fedha na vyombo vya dhahabu kila mtu kwa mwenziwe, hata kila mwanamke kwa mwenziwe.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.