1Ya kuwa unayaweza yote, ninayajua;
2uliyoyataka, hayazuiliki.
3Yuko nani awezaye kuyatowesha mashauri yako? Maana ni mtu asiyejua kitu. Kweli nimesema, nisiyoyatambua, mastaajabu kama hayo yananishinda, siyajui.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
Terms of UsePrivacy Notice
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.