1Waisiraeli walipotoka kule Misri, wa mlango wa Yakobo walipotoka kwao wasemao msemo mgeni,
5Wewe, bahari, ulionaje ulipokimbia? Wewe Yordani nawe, uliporudi nyuma?
6Nanyi milima, mliporukaruka kama kondoo waume? Nanyi vilima vidogo, mliporukaruka kama wana wa kondoo?
7Tetemeka, wewe nchi, Bwana akitokea, Mungu wake Yakobo akitokea mwenyewe!
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.