1Nao wana wa Isakari: Tola na Pua na Yasubu na Simuroni, ni watu wanne.Vizazi vya nusu ya shina la Manase.
14Wana wa Manase: Asirieli, aliyemzaa suria yake wa Kishami, ndiye aliyemzaa naye Makiri, babake Gileadi.Vizazi vya Aseri.
30Wana wa Aseri: Imuna na Isiwa na Iswi na Beria, naye Sera aliyekuwa umbu lao.1 Mose 46:17.
31Nao wana wa Beria: Heberi na Malkieli, huyu ndiye baba yao wa Birzaiti.
32Heberi akamzaa Yafuleti na Someri na Hotamu, naye umbu lao Sua.
33Nao wana wa Yafuleti: Pasaki na Bimuhali na Asiwati. Hawa ndio wana wa Yafuleti.
34Nao wana wa Semeri: Ahi na Roga na Huba na Aramu.
35Nao wana wa ndugu yake Helemu: Sofa na Imuna na Selesi na Amali.
36Wana wa Sofa: Sua na Harneferi na Suali na Beri na Imura,
37Beseri na Hodi na Sama na Silisa na Itirani na Bera.
38Nao wana wa Yeteri: Yefune na Pisipa na Ara.
39Nao wana wa Ula: Ara na Hanieli na Risia.
40Hawa wote walikuwa wana wa Aseri, vichwa vya milango ya baba zao, mafundi wa vita wenye nguvu nyingi waliochaguliwa, wawe vichwa vya wakuu; wao walioandikwa katika kitabu cha udugu kuwa katika vikosi vya wapiga vita hesabu yao ilikuwa watu 26000.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.