1Siku zile likakusanyika tena kundi la watu wengi; walipokosa vyakula, akawaita wanafunzi, akawaambia:
2Kundi hili la watu nalionea uchungu, kwa kuwa wameshinda kwangu siku tatu, wasione chakula.Kuungama kwa Petero.(27-9:1: Mat. 16:13-28; Luka. 9:18-27.)
27Yesu na wanafunzi wake wakatoka, waingie vijiji vya upande wa Kesaria-Filipi. Walipokuwa njiani, akawauliza wanafunzi wake akiwaambia: Watu hunisema kuwa ni nani?
28Nao wakamwambia wakisema: Wanakusema kuwa u Yohana Mbatizaji, wengine: Elia, wengine: Mmoja wao wafumbuaji.Ufunuo wa mateso.
31Akaanza kuwafundisha, ya kuwa imempasa Mwana wa mtu kuteswa mengi na kukataliwa nao wazee na watambikaji wakuu na waandishi, mpaka auawe, kisha afufuke, siku tatu zitakapopita.
32Neno hili akalisema waziwazi. Ndipo, Petero alipomchukua pembeni, akaanza kumtisha.
33Naye akageuka nyuma, akawatazama wanafunzi wake, akamtisha Petero akisema: Niondokea hapa nyuma yangu, wewe Satani! Kwani wewe huyawazi mambo ya Kimungu, ila unayawaza ya kiwatu tu.
Kujiokoa.34Akaliita kundi la watu, limjie pamoja na wanafunzi wake, akawaambia: Mtu akitaka kunifuata mimi ajikataze mapenzi yake, ajitwishe nao msalaba wake, kisha anifuate!
35Maana mtu anayetaka kuiokoa roho yake ataiangamiza. Lakini mtu atakayeiangamiza roho yake kwa ajili yangu mimi na kwa ajili ya Utume mwema ataiokoa.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.