2 Wafalme 8 - Swahili Roehl Bible 1937

Mwanamke wa Sunemu anarudishiwa mali zake.

1Elisa alikuwa amesema na yule mwanamke, aliyemfufulia mwanawe, akamwambia: Ondoka, uende wewe na mlango wako, ukae ugenini kutakakokufalia kukaa ugenini! Kwani Bwana ameita njaa, ije kuiingia hata nchi hii miaka saba.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help