1Ingefaa, mnivumilie, nikitumia upuzi kidogo; najua, mtanivumilia.
2Kwani wivu, ninaouona kwa ajili yenu, ni wa Kimungu; maana naliwaposea ninyi mume mmoja, ni Kristo, niwapeleke kwake kuwa mwanamwali mwenye kutakata.
5Lakini nadhani, hakuna nishindwacho nao wale wajipao macheo yote ya utume.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.