1Ndipo, Aburamu alipotoka Misri kwenda kwao upande wa kusini, yeye na mkewe nao wote, aliokuwa nao, hata Loti alikuwa naye.
2Naye Aburamu alikuwa mwenye mali nyingi sana za makundi na za fedha na za dhahabu.Kiagio cha pili, Mungu alichompa Aburamu.
14Aburamu alipokwisha kutengana na Loti, Bwana akamwambia: Yainue macho yako, utazame toka mahali hapa, unapokaa, upande wa kaskazini na wa kusini na wa maawioni kwa jua na wa baharini!
15Nchi hizi zote, unazoziona, nitakupa wewe nao wa uzao wako kuwa zenu kale na kale.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.