1Nitakutukuza Bwana, kwani umeniopoa, hukuwapa adui zangu kunifurahia mimi.
4Ninyi mmchao Mungu, mwimbieni Bwana wenu! Mshukuruni, mwakumbushe watu utakatifu wake!
5Kwani makali yake hukaa punde kidogo tu, kuwapa watu uzima ndiko kunakompendeza. Kama jioni tunakwenda kulala wenye kilio, asubuhi kimegeuka kuwa kicheko.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.