Mateo 6 - Swahili Roehl Bible 1937

Kutoa vipaji.

1Angalieni, msigawie watu vipaji vyenu machoni pa watu, kwamba wawaone! Msipojiangalia hivyo, hamna mshahara kwa Baba yenu alioko mbinguni.

2Basi, ukimgawia mtu usipigishe baragumu mbele yako kama wanavyofanya wajanja katika nyumba za kuombea na katika njia za mijini, wapate kutukuzwa na watu. Kweli nawaambiani: wamekwisha upata mshahara wao.Kufunga.

16Tena mnapofunga msikunjamane nyuso kama wajanja! Kwani huzirembua nyuso, kusudi watu wawaone, wanavyofunga. Kweli nawaambiani: Wamekwisha upata mshahara wao.(25-33: Luk. 12:22-31.)

25Kwa hiyo nawaambiani: Msiyasumbukie maisha yenu mkisema: Tutakula nini? Tutakunywa nini? Wala msiisumbukie miili yenu mkisema: Tutavaa nini? Je? Maisha hayapiti vyakula? Nao mwili haupiti mavazi?

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help