1Lile pigo lilipokwisha kukoma, Bwana akamwambia Mose na Elazari, mwana wa mtambikaji Haroni, kwamba:
2Toeni jumla yao wote walio mkutano wa wana wa Isiraeli kuanzia kwao walio wenye miaka ishirini na zaidi wa milango ya baba zao mkiwakagua wote wanaoweza kwenda vitani kwao Waisiraeli.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.