1Lakini wewe sema yapatanayo na ufundisho utupao uzima!Mema ya Mungu yenye kuleta wokovu.
11*Kwani mema yake Mungu, ayagawiayo watu wote ya kuwaokoa, yametokea waziwazi,
12nayo hutuonya, tuuvunje mwenendo wa kimizimu, tusizifuate tamaa za humu ulimwenguni, ila siku hizi za sasa za kuishi duniani tuwe wenye werevu wa kweli na wenye wongofu na wenye kumcha Mungu.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.