Yakobo 2 - Swahili Roehl Bible 1937

Mpendane, lakini msipendelee!

1Ndugu zangu, msiwaze kwamba: Kumtegemea Bwana wetu mtukufu Yesu Kristo hupatana na kupendelea watu!

10*Kwani mtu akiyashika Maonyo yote akalikosea moja tu, amekwisha kuyakosea yote.Kumtegemea Mungu pasipo matendo ni kwa bure.

14Ndugu zangu, mtu akisema: Niko na kumtegemea Mungu, lakini matendo hanayo, inamfaliaje? Kumtegemea Mungu kunaweza kumwokoa?

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help