1Utawalaji na utisho uko kwake
2anayepatengemanisha pake palipo huko juu.
3Je? Vikosi vyake vinahesabika? Yuko nani asiyetokewa na mwanga wake?
4Kwa hiyo mtu atawezaje kuwa mwongofu machoni pake Mungu? Aliyezaliwa na mwanamke atawezaje kutakata?Jibu la nane la Iyobu: Utukufu wa Mungu hauchunguziki.
Iyobu akajibu akisema:
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.