1Hili ndilo neno la Bwana lililomjia mfumbuaji Yeremia kwa ajili ya wamizimu.
2Yatakayowapata Wamisri. Kwa ajili ya vikosi vya Farao Neko, mfalme wa Misri, vilivyokuwa Karkemisi penye mto wa Furati, vilipopigwa na Nebukadinesari, mfalme wa Babeli, katika mwaka wa nne wa Yoyakimu, mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda, anasema:
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.