Iyobu 38 - Swahili Roehl Bible 1937

Mungu anatokea mawinguni, aonyesha mastaajabu yaliyoko ulimwenguni.

1Ndipo, Bwana alipomjia Iyobu akiwa mwenye upepo wa kuvuma na nguvu, akasema:

4Nilipoiweka misingi ya nchi, ulikuwa wapi? Kama unajua utambuzi, ieleze!

5Ni nani aliyeviweka vipimo vyake? Sema, kama unavijua! Au ni nani aliyeipima kwa kamba ya kupimia?

12Tangu hapo, siku zako zilipoanza, uliagiza, kuche, ukayajulisha mapambazuko mahali pao pa kutokea,

13yapate kuyashika mapeo ya nchi, waovu wafukuzwe, waitoke nchi?

14Hapo nchi hugeuka kama udongo, ukichorwa marembo, vyote vikijipanga kuwa kama mavazi yake mazuri mno.

15Lakini wanaonyimwa mwanga wao ndio waovu, nayo mikono iliyokunjuliwa kwa majivuno huvunjwa.

16Penye matokeo ya bahari ulipafika? Ukatembea humo ndani ya bahari mlimo na vilindi?

17Malango ya kifo yakafunguka mbele yako? Nayo malango ya kuzimu ukayaona?

18Ukapata kuutambua nao upana wa nchi? Kama unaujua wote, haya! Ueleze!

19Njia ya kwenda huko, mwanga unakokaa, iko wapi? napo mahali pake giza pako wapi?

20Unaweza kuisindikiza, uipeleke kwake? Njia za kwenda nyumbani kwake unazijua?

21Kweli unazijua! Kwani hapo ulikuwa umekwisha kuzaliwa, nayo hesabu ya siku zako ni kubwa!

22Penye vilimbiko vya theluji ulipafika? Navyo vilimbiko vya mvua ya mawe uliviona?

23Siku za masongano ndizo, nilizoviwekea, hata siku ya magombano nayo ya mapigano.

24Njia ya kwenda hapo, mwanga unapogawanyika, iko wapi? Upepo wa maawioni kwa jua unatoka wapi, uenee juu ya nchi?

25Ni nani azichimbiaye mvua mifereji, zikifurika? Tena ni nani, auelekezeaye umeme njia yake, ukinguruma?

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help