1Nanyi mlikuwa mmekufa kwa ajili ya maanguko na makosa yenu,
4*Lakini Mungu alikuwa ametulimbikia huruma kwa kuwa na upendo mwingi wa kutupenda;
5kwa sababu hiyo akaturudisha uzimani pamoja na Kristo hapo, tulipokuwa tumekufa kwa ajili ya maanguko; hivyo wokovu wenu ni gawio tu.Hatu wageni, ila wenyeji.
11Kwa hiyo yakumbukeni: kale mlikuwa wamizimu kwa hivyo, miili yenu ilivyo; mkaitwa mapumbavu nao wale waliojiita makungwi, kwa sababu walikuwa wametahiriwa na mikono ya watu miilini mwao.
19*Kwa hiyo sasa ham wageni tena, wala wenye kukaa kando, ila m wenyeji pamoja nao watakatifu, tena m wa nyumbani mwake Mungu.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.