2 Wafalme 13 - Swahili Roehl Bible 1937

Ufalme wa Waisiraeli: Mfalme Yoahazi.

1Katika mwaka wa 23 wa Yoasi, mwana wa Ahazia, mfalme wa Wayuda, Yoahazi, mwana wa Yehu, akapata kuwa mfalme wa Waisiraeli kule Samaria miaka 17.

14Elisa alipopata ugonjwa wake uliomwua, ndipo, Yoasi, mfalme wa Waisiraeli, aliposhuka kuja kwake, akalia machozi mbele yake na kusema: Baba yangu! Baba yangu! Wewe gari la Waisiraeli na wapanda farasi wake!

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help